Nafasi za Kazi Msimamizi wa Mauzo wa Kanda AzamPesa

Nafasi za Kazi Msimamizi wa Mauzo wa Kanda AzamPesa Ajira Mpya 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Msimamizi wa Mauzo wa Kanda AzamPesa
Nafasi za Kazi Msimamizi wa Mauzo wa Kanda AzamPesa

Je, wewe ni mtaalamu mwenye uzoefu wa mauzo?
Unaweza kutekeleza mikakati ya kikanda na kushirikiana vizuri na timu ya Masoko?
Kama jibu ni ndiyo, tafadhali tuma CV yako kupitia kiungo hiki: https://lnkd.in/dVjsdieR

Tuma maombi yako kabla ya tarehe 28 Januari 2025.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom