Hizi hapa Nafasi za kazi Shirika la Health and Insurance Management Services Organization (HIMSO) ni shirika la Kitanzania lisilo la kiserikali (NGO) lililoanzishwa mwaka 2012 kwa ajili ya kusaidia jitihada za serikali katika kuhakikisha huduma bora za afya zinapatikana kwa wananchi wote. HIMSO pia inakuja na suluhisho za kibunifu za bima ili kusaidia familia zenye kipato cha chini kukabiliana na changamoto za kiuchumi.
HIMSO inafanya kazi ya kuboresha huduma za afya kwa kushirikiana na sekta ya umma na binafsi (PPP), huku ikitoa utaalamu wa kubuni mipango ya ulinzi wa kijamii, hasa kupitia bima ndogo kwa watu wa kawaida.

Attachments