Population Services International (PSI) ni shirika lisilo la faida la kimataifa ambalo limekuwa likifanya kazi Tanzania tangu mwaka 1993 ili kuboresha afya za Watanzania. Tunatoa taarifa muhimu za kuokoa maisha, bidhaa, na huduma mbalimbali ili kukabiliana na changamoto kubwa za kiafya.