SHULE YA AWALI NA MSINGI THE FINEST INATANGAZA NAFASI ZA KAZI
KAMA IFUATAVYO;
1. Mwalimu Daraja A (Masomo ya Sayansi) Nafasi 01
2. Dereva (nafasi 02)
3. Msimamizi (Matron) Nafasi 02
4. Meneja wa Shule. (Nafasi 01)
5. Mpishi (Nafasi 01)
Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, pamoja na CV za
waombaji
Maombi yaelekezwe kwa Mkurugenzi, The Finest Pre & Primary School, P.o.Box 30324,Kibaha au yawasilishwe moja kwa moja Shuleni,Bungo/Umwerani.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 20 Disemba 2024, saa 10.00 jioni.