Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Taifa Gas Tanzania kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya jana hakikisha umefata maelekezo yaliyo andikwa katika tangazo hili.
- Tuma CV yako ya kisasa tu kupitia barua pepe jobs@taifagas.co.tz (Tafadhali usiambatanishe vyeti kwenye hatua hii).
- Maombi ambayo hayatakidhi mahitaji na maelekezo yaliyoainishwa hapo juu hayatazingatiwa.
- Katika sehemu ya subject ya barua pepe, tafadhali andika jina la nafasi unayoomba.
- Mwisho wa kupokea maombi ni Jumanne, tarehe 28/1/2025 saa 4:00 asubuhi.
Nafasi za Kazi TWCC
Ajira Mpya 2025
Nafasi za Kazi Natkern Company Limited
Ajira Mpya 2025