Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Uhamiaji Tanzania November 2024/2025 | Barua za Maombi, jinsi ya kutuma mombi, kufungua akaunti, kujisajili yote hayo unayapata hapa. na kama una swali uliza.
Habari,
1. Inatakiwa utumie Chrome browser kama una komputa itapendeza zaidi
2. Kulingana na picha yako uliyo iweka hapa, ukiangalia juu kulia kwenye hiyo picha kuna vidoti vitatu. Bonyeza hivyo kisha utaona neno limeandikwa "Desktop view"
Baada ya kufanya hivyo, mfumo wa ajira uhamiaji utafunguka vizuri na unaweza endelea na kutuma maombi.