Nafasi za kazi Uhamiaji Tanzania November 2024/2025 | Barua za Maombi

Nafasi za kazi Uhamiaji Tanzania November 2024/2025 | Barua za Maombi

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Uhamiaji Tanzania November 2024/2025 | Barua za Maombi, jinsi ya kutuma mombi, kufungua akaunti, kujisajili yote hayo unayapata hapa. na kama una swali uliza.
Ajira Uhamiaji

Nafasi za kazi uhamiaji
 
Nina changamoto ya kuapply ajira kweny mfumo wa uhamiajii nikiingia nakuta hivyo tuu naomba msaada
 

Download PDF

  • IMG-20241202-WA0028.webp
    IMG-20241202-WA0028.webp
    20 KB · Views: 168
  • Like
Reactions: Sia
Nina changamoto ya kuapply ajira kweny mfumo wa uhamiajii nikiingia nakuta hivyo tuu naomba msaada
Habari,
1. Inatakiwa utumie Chrome browser kama una komputa itapendeza zaidi
2. Kulingana na picha yako uliyo iweka hapa, ukiangalia juu kulia kwenye hiyo picha kuna vidoti vitatu. Bonyeza hivyo kisha utaona neno limeandikwa "Desktop view"

Baada ya kufanya hivyo, mfumo wa ajira uhamiaji utafunguka vizuri na unaweza endelea na kutuma maombi.
 
Back
Top Bottom