Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Umoja wa Mataifa kupitia uwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika umoja wa mataifa wametangaza nafasi ya Police Chief of Operations, P-4 ( 2025 - UNMISS - 90898 - DPO) katika misheni ya ulinzi wa Amani nchini SUDAN KUSINI kwa maafisa wa Jeshi la Polisi wenye sifa za kuomba kazi hiyo.
Tuma maombi hapa.
drive.google.com
Tuma maombi hapa.
TANGAZO LA KAZI UMOJA WA MATAIFA NCHINI SUDAN - UNMISS.pdf

Nafasi za kazi Hill Group Tanzania
19-04-2025
Nafasi za Kazi MFH Hospital
20-04-2025