Nafasi za kazi Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) December 2024

Nafasi za kazi Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) December 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,750
Hizi hapa Nafasi za kazi Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) inapenda kuwakaribisha Watumishi wa Umma wenye sifa na nia ya kujiunga na DART kwa njia ya uhamisho kama ifuatavyo:
Nafasi za kazi Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) December 2024

Mahitaji Muhimu
  1. Muombaji lazima awe Mtumishi wa Umma;
  2. Barua ya maombi iandikwe kwa Kiingereza na isainiwe;
  3. Maombi yapitishwe kupitia kwa mwajiri wa sasa;
  4. Mwombaji aambatanishe CV ya kisasa;
  5. Aambatanishe nakala zilizothibitishwa za vyeti, transcripts, na cheti cha kuzaliwa;
  6. Vyeti kutoka vyuo vya nje vya elimu ya juu lazima vihakikiwe na TCU;
  7. Cheti cha Sekondari kutoka nje ya nchi lazima kiwe na alama zinazolingana na za NECTA;
  8. Waombaji waoneshe utayari wao wa kugharamia uhamisho;
  9. Ni waombaji waliofanikiwa pekee watakaopigiwa simu kwa hatua za ziada.
Watumishi wa Umma wenye nia wanapaswa kutuma maombi yao kwa anwani ifuatayo:
Chief Executive,
Dar Rapid Transit Agency (DART),
P.O. BOX 724,
DAR ES SALAAM
 

Download PDF

Back
Top Bottom