Hili hapa tangazo la nafasi za kazi za mkataba walimu wa sekondari - mwalimu daraja la IIIB. Mwisho wa kutuma maombi ni septemba 10, 2025.
Barua zote zitumwe posta, kwenda kwa
Barua zote zitumwe posta, kwenda kwa
Mkurugenzi mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru,
48 Barabara ya Nalasi,
SLP 275, 57682
Tunduru.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NFRA 29/08/2025
Hifadhi ya Chakula