Nafasi za Kazi Zimamoto siku saba zaongezwa mpaka 7 Machi 2025

Ajira za Jeshi Nafasi za Kazi Zimamoto siku saba zaongezwa mpaka 7 Machi 2025 Ajira Portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Tangazo la kuongeza muda wa kuomba ajira Nafasi za Kazi Zimamoto siku saba zaongezwa mpaka 7 Machi 2025

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tarehe 13 Februari, 2025 lilitoa tangazo la nafasi za ajira ambapo mwisho wa kuwasilisha maombi hayo ilikuwa 28 Februari, 2025.
Nafasi za Kazi Zimamoto siku saba zaongezwa mpaka 7 Machi 2025

Jeshi linatangazia umma kuwa zimeongezwa siku saba (7) hivyo, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya nafasi ya ajira ni tarehe 07 Machi, 2025 badala ya 28 Februari, 2025. Aidha, vijana wenye sifa na nia ya kujiunga na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji waendelee kutuma maombi.

Maombi yote yatumiwe kupitia link: ajira.zimamoto.go.tz. Maelezo mengine ni kama yaliyosomeka katika tangazo la tarehe 13 Februari, 2025.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom