Nafasi za Kujitolea ZACCA Tanzania

Nafasi za Kujitolea ZACCA Tanzania 14-05-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kujitolea ZACCA Tanzania kwa Watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi katika ajira mpya hizi zilizotangazwa siku ya leo.
Nafasi za Kujitolea ZACCA Tanzania

Dirisha la Pili la Mkupuo wa pili wa Wafanyakazi wa kujitolea limefunguliwa.

Maombi yanapokelewa kwa nafasi zifuatazo.
1. Afisa Mazingira(5)
2. Afisa Tathmini na ufatiliaji.(2)
3. Afisa Bunifu na Ujasiriamali.(3)
4. Afisa Sheria.(1)
5. Afisa rekodi na kumbukumbu (2)
6. Afisa Maendeleo ya Jamii.(1)
7. Afisa Kilimo 1.

Maombi yote yaelekezwe kwa.

Afisa Tawala
Zanzibar Climate Change Alliance- ZACCA.
S.L.P 4232.
+255 627 349 720
JUMBI IPA,ZANZIBAR.

AU TUMA MAOMBI HAYO KWA BARUA PEPE ZIFUATAZO.

1. [email protected]
2. [email protected].
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom