Hizi hapa Nafasi za Mteknolojia (Mionzi) Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi yako hapa
Mteknolojia (Mionzi) Daraja la II - TGHS B
Sifa za Waombaji:Waombaji wanatakiwa kuwa na:
- Stashahada katika Fani ya Mionzi
- Diploma in Radiology/Radiography/NTA Level 6 ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
- Usajili Rasmi
- Usajili kutoka Baraza la Wataalamu wa Mionzi Tanzania (The Medical Radiology and Imaging Professionals Council).
- Leseni Hai
- Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Wataalamu wa Mionzi Tanzania (The Medical Radiology and Imaging Professionals Council).
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi yako hapa