Hizi hapa Nafasi za Tabibu Meno Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,
Waombaji wanapaswa kuwa na:
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma hapa maombi
Tabibu Meno Daraja la II - TGHS B
Sifa za Waombaji:Waombaji wanapaswa kuwa na:
- Stashahada ya Tabibu Meno
- Diploma in Clinical Dentistry/NTA Level 6.
- Mafunzo ya miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
- Usajili Rasmi
- Usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
- Leseni Hai
- Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma hapa maombi