Nafasi za Daktari Daraja la II – TGHS E | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Nafasi za Daktari Daraja la II – TGHS E | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Hizi hapa Nafasi za Daktari Daraja la II – TGHS E | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,

Daktari Daraja la II – TGHS E

Sifa za Waombaji:
Waombaji wanapaswa kuwa na:
  1. Shahada ya Udaktari wa Binadamu
    • Iwe imetolewa na Vyuo Vikuu au Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
    • Wawe wamemaliza mafunzo ya kazi (Internship) ya muda usiopungua mwaka mmoja.
  2. Usajili Rasmi
    • Usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
  3. Leseni Hai
    • Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanaombwa kuhakikisha nyaraka zote zinazohitajika zimeambatanishwa kabla ya kutuma maombi.
Tuma maombi hapa
 
Back
Top Bottom