NAFASI ZA TABIBU MSAIDIZI II (CLINICAL ASSISTANT II) MDAs & LGAs

NAFASI ZA TABIBU MSAIDIZI II (CLINICAL ASSISTANT II) MDAs & LGAs Ajira Mpya 141 Ajira

Hizi hapa Nafasi za Tabibu Msaidizi daraja la pili (Clinical Assistant) kutoka MDAs & LGAs
NAFASI ZA TABIBU MSAIDIZI II (CLINICAL ASSISTANT II) MDAs & LGAs

i. Kutoa huduma za kinga na tiba.

ii. Kutambua na kutibu magonjwa.

iii. Kutoa huduma ya Afya ya msingi (Primary Health Care).

v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV ambao wamehitimu Mafunzo ya Miaka Miwili ya Tabibu Wasaidizi (Clinical Assistants Certificate).

Tuma maombi hapa
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom