Nilisajiliwa Madrid Bila Mimi Kujua Asema Marcello

Nilisajiliwa Madrid Bila Mimi Kujua Asema Marcello

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Beki wa zamani wa Real Madrid, Marcelo anatupa stori namna alivyojiunga na klabu hiyo.
"Sitakuja kusahau mchakato wangu wa kujiunga na Real Madrid ulivyokuwa.
FB_IMG_1736272219479.webp


"Siku moja mwakilishi wangu aliniambia: "Je, unataka kuichezea Real Madrid? Nikasema ndiyo. Akaniuliza Je, una girlfriend? Nikajibu Hapana? Una watoto? Hapana, umeoa? hapana. Nikasema kwa nini unaniuliza maswali haya yote? - Akaniambia nisijali tutazungumza wakati mwingine

"Ndani ya siku chache akanifuata tukaondoka Rio de Janeiro (Brazil) Kwa ndege inayoelekea Madrid bila kuniambia hata neno moja.

"Tulipofika, rais (Ramon Calderon) alikuwa mezani akiwa na mkataba na wapiga picha kila mahali.

Sikuelewa hilo kwa wakati huo, nikaonyeshwa sehemu ya kusaini, rasmi nikawa mchezaji wa Real Madrid."
 
Back
Top Bottom