Hii hapa Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Kidato cha Nne Aprili,2025 ambapo Waombaji wenye elimu ya Shahada na taaluma mbalimbali usaili wao utafanyika katika Ukumbi wa Andengenye - Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma kuanzia tarehe 14 Aprili hadi 17 Aprili, 2025 saa 1:00 Asubuhi kwa kila kundi.
Kufika na vyeti vyote halisi vilivyotumika kwenye maombi ya ajira kama vile cheti cha Kidato cha nne, Kidato cha sita, Cheti cha taaluma, cheti cha kuzaliwa, pamoja na Kitambulisho cha Taifa au Namba ya kitambulisho cha Taifa (NIDA)
Angalia hapa orodha nzima

Orodha/Majina ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Aprili 2025
ajira.zimamoto.go.tz
Majina/Orodha ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Taaluma Mbalimbali Aprili 2025
ajira.zimamoto.go.tz