Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026

Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026 e-Ajira Immigration

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana walioomba Ajira na kuitwa kwenye usaili kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kwamba wale waliochaguliwa wametumiwa ujumbe kupitia barua pepe na simu zao kuwa wanatakiwa kujiunga kwa ajili ya Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji ambayo yatatolewa katika Chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga. Ujumbe huo umeanisha siku, tarehe na muda wa kuripoti chuoni.
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026

Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Mafunzo Uhamiaji Aprili 13, 2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom