Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024

Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024 PDF. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16-12-2024 hadi 30-12-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA NA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE 04-12-2024 BONYEZA HAPA
 
Back
Top Bottom