Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MJNUAT. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT), anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 14 Desemba 2024 hadi 16 Desemba 2024. Usaili huu ni fursa ya mwisho kwa waombaji kuthibitisha uwezo wao kabla ya kupangiwa vituo vya kazi.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA MWALIMU JULIUS K. NYERERE CHA KILIMO NA TEKNOLOJIA (MJNUAT) 07-12-2024
Pakua PDF hapa chini, Kama una swali uliza na litajibiwa. Tunapenda kusikiliza kutoka kwako..
RATIBA YA USAILI WA MCHUJO MJNUAT

Attachments