Wananchi, Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TIE Interview Taasisi ya Elimu Tanzania December 2024. Tunapenda kuwajulisha waombaji wa kazi ya Afisa Biashara na Masoko ambaowameorodheshwa hapo chini kuwa wanatakiwa kwenye usaili wa maandishi/kuandika(written Inteview) siku ya tarehe 16/12/2024 saa 2:00 Asubuhi. Usaili utafanyika katikaChuo cha Ustawi wa Jamii kilichopo Kijitonyama - Dar es Salaam.
Aidha kwa waombaji watakao faulu mtihani wa kuandika watafanya usaili wa ana kwaana (Oral Interview) tarehe 19/12/2024 katika ofisi za Taasisi ya Elimu Tanzania MakaoMakuu, Mikocheni- Dar es Salaam.
Pakua PDF hapa chini, kama una swali swali.

Attachments