Orodha ya Vyuo vya VETA na Ufundi Stadi Tanzania Ada za kila Chuo PDF

Orodha ya Vyuo vya VETA na Ufundi Stadi Tanzania Ada za kila Chuo PDF

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
607
Hii hapa Orodha ya Vyuo vya VETA na Ufundi Stadi Tanzania Ada za kila Chuo PDF 2025/2026 vinavyotoa mafunzo mbalimbali nchini kwa kutoa wataalamu watakao kwenda kusaidia Taifa kwa ujumla katika sehemu mbalimbali.

Orodha ya Vyuo vya VETA​

Ifuatayo ni orodha ya vyuo vya VETA vilivyogawanywa kulingana na mkoa na wilaya:

1. Mkoa wa Arusha
  • Wilaya ya Arusha:
    • Arusha VTC
    • VETA Hotel and Tourism Training Institute (VHTTI)
  • Wilaya ya Ngorongoro:
    • Ngorongoro DVTC
  • Wilaya ya Longido:
    • Longido DVTC
  • Wilaya ya Monduli:
    • Monduli DVTC
2. Mkoa wa Dar es Salaam
  • Wilaya ya Ilala:
    • Kipawa ICT Centre
  • Wilaya ya Temeke:
    • DSM RVTSC
3. Mkoa wa Dodoma
  • Wilaya ya Dodoma:
    • Dodoma RVTCS
  • Wilaya ya Chemba:
    • Chemba DVTC
  • Wilaya ya Bahi:
    • Bahi DVTC
  • Wilaya ya Kongwa:
    • Kongwa DVTC
4. Mkoa wa Geita
  • Wilaya ya Geita:
    • Geita RVTSC
  • Wilaya ya Chato:
    • Chato DVTC
5. Mkoa wa Iringa
  • Wilaya ya Iringa:
    • Iringa RVTSC
    • Iringa DVTC
6. Mkoa wa Kagera
  • Wilaya ya Karagwe:
    • Karagwe DVTC
  • Wilaya ya Muleba:
    • Ndolage VTC
  • Wilaya ya Bukoba:
    • Kagera RVTSC
    • Kagera VTC
7. Mkoa wa Katavi
  • Wilaya ya Mpanda:
    • Mpanda VTC
8. Mkoa wa Kigoma
  • Wilaya ya Kigoma Mjini:
    • Kigoma RVTCS
  • Wilaya ya Kasulu:
    • Kasulu DVTC
    • Nyamidaho VTC
  • Wilaya ya Uvinza:
    • Uvinza DVTC
  • Wilaya ya Buhigwe:
    • Buhigwe DVTC
9. Mkoa wa Kilimanjaro
  • Wilaya ya Moshi:
    • Moshi RVTSC
10. Mkoa wa Lindi
  • Wilaya ya Ruangwa:
    • Ruangwa DVTC
  • Wilaya ya Lindi:
    • Lindi RVTSC
11. Mkoa wa Manyara
  • Wilaya ya Babati:
    • Manyara RVTSC
    • Gorowa DVTC
  • Wilaya ya Simanjiro:
    • Simanjiro VTC
12. Mkoa wa Mara
  • Wilaya ya Butiama:
    • Butiama DVTC
  • Wilaya ya Musoma:
    • Mara VTC
13. Mkoa wa Mbeya
  • Wilaya ya Chunya:
    • Chunya DVTC
  • Wilaya ya Rungwe:
    • Busekelo DVTC
  • Wilaya ya Mbeya:
    • Mbeya RVSTC
  • Wilaya ya Mbarali:
    • Mbarali DVTC
14. Mkoa wa Morogoro
  • Wilaya ya Mvomero:
    • Dakawa VTC
  • Wilaya ya Morogoro:
    • Morogoro Vocational Teachers Training College (MVTTC)
    • Kihonda RVTSC
  • Wilaya ya Ulanga:
    • Ulanga DVTC
  • Wilaya ya Kilosa:
    • Mikumi VTC
15. Mkoa wa Mtwara
  • Wilaya ya Newala:
    • Kitagari DVTC
  • Wilaya ya Mtwara:
    • Mtwara RVTSC
  • Wilaya ya Masasi:
    • Masasi DVTC
16. Mkoa wa Mwanza
  • Wilaya ya Ilemela:
    • Mwanza RVTSC
  • Wilaya ya Kwimba:
    • Kwimba DVTC
  • Wilaya ya Ukerewe:
    • Ukerewe DVTC
17. Mkoa wa Njombe
  • Wilaya ya Ludewa:
    • Njombe RVTSC
  • Wilaya ya Wanging’ombe:
    • Wanging’ombe DVTC
  • Wilaya ya Makete:
    • Makete VTC
18. Mkoa wa Pwani
  • Wilaya ya Rufiji:
    • Rufiji DVTC
  • Wilaya ya Mafia:
    • Mafia DVTC
  • Wilaya ya Kibaha:
    • Pwani RVSTC
19. Mkoa wa Rukwa
  • Wilaya ya Sumbawanga:
    • Rukwa RVTSC
  • Wilaya ya Nkasi:
    • Nkasi DVTC
20. Mkoa wa Ruvuma
  • Wilaya ya Namtumbo:
    • Namtumbo DVTC
  • Wilaya ya Nyasa:
    • Nyasa DVTC
  • Wilaya ya Songea:
    • Songea VTC
21. Mkoa wa Shinyanga
  • Wilaya ya Kishapu:
    • Kishapu DVTC
  • Wilaya ya Shinyanga:
    • Shinyanga VTC
22. Mkoa wa Simiyu
  • Wilaya ya Bariadi:
    • Simiyu RVTSC
    • Kanadi VTC
23. Mkoa wa Singida
  • Wilaya ya Singida:
    • Singida VTC
  • Wilaya ya Ikungi:
    • Ikungi DVTC
24. Mkoa wa Songwe
  • Wilaya ya Ileje:
    • Ileje DVTC
25. Mkoa wa Tabora
  • Wilaya ya Kaliua:
    • Ulyankulu VTC
  • Wilaya ya Igunga:
    • Igunga DVTC
  • Wilaya ya Uyui:
    • Uyui DVTC
  • Wilaya ya Tabora:
    • Tabora RVTSC
  • Wilaya ya Urambo:
    • Urambo DVTC
26. Mkoa wa Tanga
  • Wilaya ya Tanga:
    • Tanga RVTSC
  • Wilaya ya Mkinga:
    • Mkinga DVTC
  • Wilaya ya Pangani:
    • Pangani DVTC
  • Wilaya ya Korogwe:
    • Korogwe DVTC
  • Wilaya ya Kilindi:
    • Kilindi DVTC
  • Wilaya ya Lushoto:
    • Mabalanga VTC
    • Lushoto DVTC

Orodha ya Vyuo vya VETA na Ufundi Stadi Tanzania Ada za kila Chuo PDF


Kwa maelezo zaidi, unaweza kuwasiliana na:
  • VETA Makao Makuu
    • Kiwanja Na. 18 Central Business Park (CBP)
    • S.L.P. 802, Dodoma, Tanzania
    • Baruapepe: info@veta.go.tz
    • Simu: +255 22 2863409 / +255 755 267 489
    • Nukushi: +255 22 2863408
    • Tovuti: www.veta.go.tz
 
Back
Top Bottom