- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
1.YANGA vs TP MAZEMBE -JANUARY 4 KWA MKAPA Saa kumi Jioni
2.AL HILAL Vs YANGA - JANUARY 12 MAURITANIA Saa nne usiku
3.YANGA Vs MC ALGER - JANUARY 18 KWA MKAPA saa kumi Jioni
Wananchi taarifa iwafikie kuwa hakuna mchezo wowote wa ligi mpaka michezo yenu yote ya kimataifa itakapoisha huku Mapinduzi Cup nayo itakuwa ipo ukingoni
WANANCHI MTAVUNA ALAMA NGAPI HAPO KATI YA ALAMA 9...??