Ratiba ya Usaili wa Mahojiano na Vitendo TRA Angalia hapa 2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa waliofaulu na kuchaguliwa kushiriki usaili wa mahojiano na vitendo kwamba, ratiba ya usaili huo itatolewa tarehe 29 Aprili, 2025 kupitia tovuti ya Mamlaka.
Kwa raarifa zaidi tembelea katika tovuti ya TRA kupata matokeo, usaili, ratiba, kuitwa kazini TRA 2025.
Kwa raarifa zaidi tembelea katika tovuti ya TRA kupata matokeo, usaili, ratiba, kuitwa kazini TRA 2025.
MATOKEO YENYE NAMBA ZENYE CHANGAMOTO TRA
27-04-2025