S

Request Awards Verification Number (AVN) NACTVET

Mfumo huu unaruhusu wahitimu wa Stashahada wanaotamani kujiunga na Elimu ya Juu kuhakiki sifa zao za kielimu. Ili kuendelea na maombi haya, ni lazima uwe na: (1) Anwani ya barua pepe inayofanya kazi, na (2) Namba ya simu ya mkononi inayotumika. Ili kutuma maombi katika kundi hili, ni lazima uwe umejisajili kwenye mfumo wa NAVS. Fuata kiungo kilicho hapa chini kuendelea. Ikiwa huu ni mara yako ya kwanza, bonyeza hapa kuanza maombi yako. Ikiwa tayari umejisajili, tafadhali bonyeza hapa.

Bonyeza hapa kupata AVN
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom