SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 86%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
590
Gift submitted a new resource:

SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL - DOWNLOAD SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL

MLIOWAI KUFANYA SAILI KATIKA SHULE ZA PRIVATE AU SERIKALI WEKA HAPA SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL.
SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL
Mimi nimepata hayo

Pitia kwa makini slides za CT na EP hususani maeneo kama vile;
1. Bloom Taxonomy
2. Professionalism of Education (Class Management na Types of student, Teaching techniques)...

Read more about this resource...
 
Naomba kuuliza, hivi Mtihani utakuwa maswali ya kuchagua (objective questions) au ya kuelezea (subjective questions)

Naomba msaada nataka kujua!
 
Hapo ni kusoma pote tu boss, usaili wa walimu ni very trick kulingana na idadi, Unaweza sema uguse tu sehemu fulani wakachomoa kule ambako hukupitia.
 
Usaili haupimi content, bali uelewa kuhusu kada husika
 
Back
Top Bottom