Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Tukuyu TC Vigezo, ada, Kozi

Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Tukuyu TC Vigezo, ada, Kozi Walimu 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hizi hapa Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Tukuyu TC Vigezo, ada, Kozi pamoja na gharama. Chuo kipo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Chuo hiki hutoa maarifa na ujuzi ambacho huandaa Walimu kutoa huduma kwa Wanafunzi.

Kozi zinazotolewa​

1. Stashahada Maalumu ya Ualimu Elimu ya Msingi katika masomo ya Sayansi, Hisabati na TEHAMA (Miaka 03)

Sifa za kujiunga​

Ufaulu wa Kidato cha VI kwa kiwango cha daraja la I hadi III, pamoja na alama zisizopungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo ya Tahasusi za Sayansi, Hisabati na TEHAMA, ukizingatia masomo yanayofundishwa katika shule za Sekondari ambayo ni: Basic Mathematics, Biology, Food & Nutrition, Geography, Chemistry, Physics, Agriculture Science, Information and Computer Studies (ICS), na Computer Science.
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Tukuyu TC Vigezo, ada, Kozi
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom