- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 180
Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo.
Kigogo huyo amatoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji kama wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.
Kigogo huyo amatoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji kama wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.