- Views: 9K
- Replies: 1
Kutokana na upotoshaji unaoendelea kupitia njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu mchakato wa ajira za walimu unaoendelea katika Mikoa yote nchini, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeona upo umuhimu wa kutoa ufafanuzi juu ya suala hili.
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kama sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Menejimenti na Ajira katika Utumishi wa Umma, kifungu cha (4.2)(ii)(iii) kinachoelekeza kuwa:

- Ajira za ushindani zifanyike katika madaraja ya kuingilia kwenye miundo ya utumishi
- Kiundwe chombo cha ajira katika Utumishi wa Umma kitakachokuwa kinashughulikia na kusimamia upatikanaji wa wataalamu mbalimbali.