Angalia hapa Tamisemi selection form five 2025 to 2026 pdf download kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2024 na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025 katika shule mbalimbali nchini Tanzania na wengine kujiunga na vyuo vya kati.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tana na Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mwaka 2025, ni kutoka Shule· za Serikali, zisizo za Serikali, watahiniwa wa kujitegemea waliofanya mtihani wakiwa chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima na waliosoma nje ya nchi ambao matokeo yao yamefanyiwa ulinganifu wa Baraza la Mtihani Tanzania (NECTA).
Angalia selection hapa.

Post za form five 2025
Kidato cha Tano
Tamisemi selection
Kidato cha Tano