Haya hapa majina ya kuitwa au walioitwa kazini Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09-11-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Bonyeza hapo chini ku-download PDF 1
Bonyeza hapo chini ku-download PDF 1
Mabadiliko ya Tarehe ya Kuitwa Chuoni Uhamiaji
Mafunzo Immigration
Download PDF