Haya hapa majina ya walioitwa kazini ajira portal Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazimbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombajikazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.