Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Afya, walimu na taasisi mbalimbali kutoka utumishi/ajira portal. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-06-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Bonyeza hapa kupakua PDF.
PDF ya kwanza
PDF ya pili
PDF ya tatu walimu, afya na taasisi mbalimbali.
PDF ya nne taasisi mbalimbali
Bonyeza hapa kupakua PDF.
PDF ya kwanza
PDF ya pili
PDF ya tatu walimu, afya na taasisi mbalimbali.
PDF ya nne taasisi mbalimbali
Ajira Portal News Ualimu Today
Ajira za walimu 2025
Majina ya Waliochaguliwa Polisi 2025
Walioitwa Polisi Tan
Last edited: