TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-05-2025 AJIRA PORTAL

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-05-2025 AJIRA PORTAL UTUMISHI

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Afya, walimu na taasisi mbalimbali kutoka utumishi/ajira portal. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-06-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Bonyeza hapa kupakua PDF.

PDF ya kwanza


PDF ya pili

PDF ya tatu walimu, afya na taasisi mbalimbali.

PDF ya nne taasisi mbalimbali
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-05-2025 AJIRA PORTAL
 
Last edited:
Back
Top Bottom