TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2025 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-11-2024 na tarehe 14-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Pakua hapa kuitwa kazini utumishi na ajira portal.

Orodha PDF ya pili.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2025
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom