Hili hapa tangazo la walioitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
Pakua PDF hapa.
https://www.ajira.go.tz/baseattachm...261401550048TANGAZO LA KUITWA KA ZINI 82.pdf
Pakua PDF hapa.
https://www.ajira.go.tz/baseattachm...261401550048TANGAZO LA KUITWA KA ZINI 82.pdf