Hili hapa tangazo la walioitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09-11-2024 na tarehe 17-10-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Maswali ya Usaili Pharmacist
2026 Interview PDF
Maswali ya Usaili Afisa Afya Mazingira
2026 Interview PDF
Download PDF