Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu, afya na kada mbalimbali ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Pakua PDF hapa.
PDF ya pili.
Pakua PDF hapa.
PDF ya pili.
Nafasi za Kazi Nutrition International
20-07-2025
Nafasi za Kazi GIZ Tanzania and EAC
22-07-2025