TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-02-2026

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-02-2026 AJIRA PORTAL

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

Pakua PDF hapa.

2.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-02-2026
 
Back
Top Bottom