TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 26-08-2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 26-08-2025 AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini ajira portal leo 26-08-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-08-2024 na tarehe 17-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi.

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 26-08-2025
 
Back
Top Bottom