Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kazini ajira portal leo 26-08-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 14-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyo orodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.