TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 30-05-2025 PSRS

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 30-05-2025 PSRS AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Orodha ya majina ya walioitwa kazini afya, walimu na taasisi mbalimbali 30-05-2025 ajira portal PSRS Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 30-05-2025 PSRS
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom