TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 24-04-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha ya majina ya wallioitwa kazini Walimu, Afya na kada mbalimbali (Kuitwa kazini Taasisi za Umma) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 24-02-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Zingatia, Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Pakua orodha nzima hapa.
 TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

Usaili wa TRA:
 
Last edited:
  • Like
Reactions: Sia
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom