Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu na kada mbalimbali 12-02-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-04-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF
Nafasi za Ajira Brac Maendeleo Tanzania
Ajira Mpya 2025