TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 18-02-2025 AJIRA PORTAL
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 18-02-2025
Kama PDF itagoma "Download hapa chini"

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TARURA Manyama
Interview Tarura
Attachments
Last edited: