TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 19-02-2025 AJIRA PORTAL

TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 19-02-2025 AJIRA PORTAL Utumishi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
HILI HAPA TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 19-02-2025 AJIRA PORTAL
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 19-02-2025 AJIRA PORTAL

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 19-02-2025
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom