TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA (MUCE) 05-02-2026

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA (MUCE) 05-02-2026 AJIRA PORTAL

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapat tangazo la orodha ya majina ya walioitwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 12/02/2026 hadi 13/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo.

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU MKWAWA (MUCE) 05-02-2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom