Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Mkurugezi wa Halmashauri ya Mji Masasi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15/09/2025 hadi 18/09/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.