Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kwa cheo cha Mwandishi Mwendesha ofisi Daraja la II na Dereva Daraja la II na kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15/09/2025 hadi 16/09/2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa